Rapa Snoop Dogg ameshindwa kuvumiliwa kitendo cha waandaaji wa tuzo za Oscar kutowahusisha waigizaji weusi kwenye vipengele vya kuwania tuzo hizo mwaka huu na kuwaporomoshea matusi.

Hatua hiyo ya Snoop ilikuja baada ya mtu mmoja kumuuliza kama ataangalia tuzo hizo kupitia runinga au kwenda moja kwa moja kwenye ukumbi, kitu ambacho kilimpandisha hasira.

Rapa huyo alipost kwenye Instagram video fupi ikimuonesha anatumia marijuana huku akiporomosha mitusi yake akisisitiza kuwa hataangalia tuzo hizo kwa sababu hakuna muigizaji mweusi aliyetajwa ingawa kazi za waigizaji weusi ni bora.

“Somebody asked me was I gon watch the motherf-king oscars.F-k no! The F-k am I gonna watch that bullshit for ..They aint got no niggas nominated ..All these great movies and all these great s-t that y’all keep stealing from us..F-k you ..F-K YOU”

Ni Zamu Ya Mzunguko Wa 15 VPL
Taarifa Ya Kikao Cha Kamati Ya Sheria Na Hadhi Za Wachezaji