Bondia Muingereza, Tyson Fury amefanikiwa kumtwanga mbabe Wladimir Klitschko mwenye miaka 40.

Katika pambano hilo lililofanyika Dusseldorf, Ujerumani, Fury amefanikiwa kumtwanga Klitschko kwa pointi katika pambano kali la kuwania ubingwa wa WBA, WBO na IBF.

Majaji walimpa Furry ,27, ushindi wa jumla ya pointi 115-113 za Klitschko ambaye alionekana kutokuwa katika kiwango chake kilicho sahihi.

Wenger Aweka Pamba Masikioni Mwake
Breaking News: Sheikh Ponda, Wenzake 49 Waachiwa Huru