Katika MSAKA TONGE wiki hii tume kukutanisha na kijana ambaye anafanya biashara ya kuuza mapambo ya kuvaa shingoni na mikononi Bangili “culture” za wanawake na wanaume kwa kutembeza kwenye mitaa mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam.

Kijana huyo ameeleza kuwa kwa siku anaingiza kipato sio chini ya shilingi elfu kumi hadi elfu 20, ambapo kwa mwezi anakuwa na kiasi kisichopungua lakitatu hadi laki sita, sawa na kipato cha wafanyakazi wa baadhi ya ofisi…, Bofya hapa kujua undani wa maisha yake ya biashara na amewezaje.

Bobi Wine, wafuasi wake wakamatwa tena Uganda
Mchekeshaji apata ushindi wa Urais Ukraine

Comments

comments