Kocha wa zamani wa Simba, Abdallah Kibadeni amefunguka kuhusu ujio wa kocha mpya wa timu hiyo huku akimshauri kocha msaidizi wa wekundu hao wa msimbazi, Selemani Matola namna ya kufanya kazi kocha mpya.

Pia Kibadeni amemuomba mwekezaji watimu hiyo Mohammed Dewji ‘MO’ kumsaidia katika kituo chake cha kukuzia soka cha KISA (Kibadeni International Socer Academy) kwa mahitaji waliyonayo kwenye kituo hiko.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=snkBe4uF1ZM]

Anusurika kifo baada ya kuchinja jogoo wa Christmas
Serikali yautaka uongozi wa UDSM kuwachukulia hatua viongozi wa wanafunzi