Baraza la Mitihani Tanzania(NECTA) limetangaza matokeo ya kidato cha sita 2016. Akitangaza matokeo hayo mapema leo Jijini Dar es salaam, Katibu mtendaji wa NECTA, Dkt. Charles Msombe amesema ufaulu umeshuka kutoka asilimia 98.87 mpaka 97.94 mwaka huu.

Necta Yatoa Pongezi kwa Kamati ya Usimamizi wa Mitihani ya Ualimu, Mmoja afutiwa Matokeo
Cristiano Ronaldo Ampeleka Luis Nani Hispania