Kamanda wa Polisi kanda maalum ya Dar es salaam, Simon Sirro ameitaja mikakati ya ulinzi sikukuu ya Eid el Fitr, Sirro ameeleza kushirikiana na vyombo vyote vya usalama kuimarisha ulinzi,
- Kikosi cha usalama na uokoaji,
- Kampuni binafsi za ulinzi,
- Vikosi vya uokoaji wakati wa majanga,
- na vikundi vya ulinzi shirikishi.
Pia kamanda Sirro amempongeza mwanamke aliyeonyesha ushujaa baada ya kuvamiwa na majambazi. Hii hapa video