Naibu spika Tulia Ackson amesimama na kusoma mwongozo kuhusu wabunge wanaotoka nje ya bunge huku wakiendelea kupokea posho.
Hayo yalisemwa na Naibu huyo mara tu baada ya Serikali kupitia Wizara ya fedha na mipango ilipomaliza kuwasilisha bungeni Dodoma mapendekezo ya makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2016/2016. Akiwasilishwa na Waziri Philip Mpango.