Wizara ya Nishati Nchini kupitia Shirika la Umeme Tanzania – TANESCO, imeendelea na majaribio kwa njia ya maji ya mtambo namba 9 katika mradi wa kufua umeme wa Bwawa la Julius Nyerere, lililopo Rufiji Mkoani Pwani.

TANESCO imesema, mpaka sasa majaribio hayo yamefanikiwa tayari na kinachosubiriwa ni uwashwaji wa mtambo, ili kuanza uzalishaji huo wa umeme.

Taarifa ya TANESCO imezidi kueleza kuwa, Wananchi wakae tayari hivi karibuni wanatarajia kuwasha.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Februari 4, 2024
Usajili Simba SC wamtisha Kitambi