Kitunguu saumu kina allicin, kiambato kinachosaidia mzunguko mzuri wa damu kwenye viungo vya uzazi. Kuwa na mzunguko mzuri wa damu kwenye uume ni sababu kubwa ya kuongeza stamina ya kufanya mapenzi.

Sifa kuu za kitunguu saumu zinazokifanya kuwa na uwezo na faida nyingi mwilini ni kuwa na viasili kadhaa ambavyo vina uwezo tofauti tofauti.

Baadhi ya viasili hivi husaidia kutanuka kwa mishipa ya damu ( vasodilation kwa lugha ya kiingereza) kwa kubadilisha polysulphides zilizo ndani yake kuwa hydrogen sulphides kwenye seli nyekundu za damu.

Pia, kitunguu saumu husaidia kuthibiti kiwango cha kemikali iitwayo homocystine

Kitunguu saumu kina allicin , kiambato ambacho husaidia mwili kuwa na mzinguko mzuri wa damu hadi kwenye viungo vya uzazi.

Unashauriwakumeza kitunguu kama unavyomeza dawa na maji nusu lita kila unapoenda kulala.

Fanya hivi kila baada ya siku 1 unapoenda kulala kwa wiki 3 mpaka 4.
 Unaweza pia kuendelea kukitumia hata kama unmepona tatizo lako. Ukiona kichwa kizito au kinauma pumzika kutumia kitunguu swaumu kwa siku 3 hivi kisha endelea tena, muhimu usitumie kila siku bali ni kila baada ya siku 1.

Baraza la usalama kukutana baada ya mashambulizi Gaza
Ukwaju unavyoondoa tatizo la nywele kutakati