Habari Picha za Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara – TNBC, uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam hii leo Juni 9, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akishiriki kwenye Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni 9, 2023.
Viongozi mbalimbali, Mawaziri, Wakuu wa Mikoa, Wafanyabiashara wakiwa kwenye mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) uliofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni 9, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza na viongozi mbalimbali pamoja na wafanyabiashara wakati akifungua Mkutano wa 14 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam Juni 9, 2023.

Wanasayansi watahadharisha El-nino, ongezeko la juu joto
Simon Msuva: Namtakia kila la heri Fiston Mayele