Katibu Mtendaji wa Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), Prof. Charles Kihampa ametangaza kufunguliwa kwa Awamu ya Pili ya Udahili wa Shahada ya Kwanza katika Taasisi za Elimu ya Juu nchini kuanzia Agosti 24 hadi Septemba 6, 2021.

Nyumba za nyasi na udongo kutolipiwa kodi
Gomes awaweka kitako wachezaji wake