Mwanyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema Kamati Maalum ya Kamati Kuu ya Chama hicho imepokea taarifa ya mgogoro unaoendelea ndani ya Chama cha Wananchi, CUF unaomhusisha aliyekuwa mwenyekiti Taifa wa CUF na kueleza kwamba mgogoro huo unachochewa na Msajili va Vyama vya Siasa, jaji Francis Mutungi.

Mbowe amesema Chadema inalaani vikali uamuzi wa Jaji Mutungi wa kuivuruga CUF kwa kujaribu kumrudisha madarakani Prof. Lipumba ambaye alijiuzulu madarakani katika mazingira yanayoashiria kununuliwa na CCM na taasisi zinazoiunga mkono kwa lengo la kusaliti harakati za Ukawa wakati wa uchaguzi mkuu mwaka jana. Bofya hapa kutazama video

Diamond aeleza sababu za kuipeleka WCB kwa Kikwete
Diamond athibitisha bifu na King Kiba sasa bhaasi.