Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming), iliyopo eneo la Chinangali Mkoani Dodoma.

Dkt. Samia amefanya uzinduzi huo hii leo Machi 20, 2023 na zifuatazo ni baadhi ya picha zikionesha matukio mbalimbali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipanda mti katika eneo la Mradi wa Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Tulia Ackson wakati akizindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe, Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule pamoja na viongozi wengine wakati akikata utepe kuzindua Programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block Farming) Chinangali Mkoani Dodoma tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi pamoja na Kikundi cha ngoma za asili za Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili Chinangali Mkoani humo tarehe 20 Machi, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwasalimia Wananchi pamoja na Kikundi cha ngoma za asili za Mkoa wa Dodoma mara baada ya kuwasili Chinangali Mkoani humo tarehe 20 Machi, 2023.
Sehemu ya Mashamba yanayotumika katika programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block
Farming) Chinangali Mkoani Dodoma.
Sehemu ya Mashamba yanayotumika katika programu ya Kilimo cha Mashamba Makubwa ya pamoja (Block
Farming) Chinangali Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wananchi wa Dodoma mara baada ya kuzindua Programu ya Kilimo cha MashambaMakubwa (Block Farming) ya pamoja Chinangali Mkoani Dodoma.
Sehemu ya Viongozi mbalimbali wakiwemo Wakuu wa Wilaya wakimsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan.

Tarehe za Robo Fanali ASFC zatangazwa
Maandamano Kenya: Polisi yawashikilia 22 wakiwemo Wabunge