Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefungua rasmi mradi wa Maduka 452 ya Kisasa katika eneo la Darajani Souk.

Uzinduzi wa maduka hayo umefanyika hii leo Februari 18, 2023 ambapo Rais Mwinyi amesema masoko ya maeneo mengine katika Wilaya zote yanaendelea kujengwa ili kuweka mazingira ya kibiashara kuwa safi.

Zifuatazo ni baadhi ya picha zikionesha matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi huo wa Maduka ya Darajani Souk.

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Februari 19, 2023
Buriani rapa Kiernan Forbes - AKA